Wasanii Manaiki Sanga na Irene Uwoya wakiwa kwenye picha za mahaba huku Uwoya akigida bieeeee hadi kuche.
Na Mwandishi Wetu
Mtandao hatari wa
habari wa Xdeejayz kwa mara nyingine umekuwa wa kwanza kunasa picha za wasanii
mastaa toka kiwanda cha bongo movie Manaiki Sanga na Irine Uwoya zikiwaonesha
wakiwa kwenye mahaba mazito huku Irine akiwa ho kwa kiraji “pombe”.
Habari makini toka
chanzo chetu makini ambacho ni rafiki wa karibu na Irine Uwoya kilisema Irine
na Manaiki kwa sasa wako kwenye mahusiano ya karibu kiasi cha kuzua minong’ono
kwa kudhani huenda wanamahusiano ya upande wa pili.
Hata hivyo chanzo hicho
kiliendelea kusema kwa picha hizo zinadaiwa kupigwa katika viunga vya Club
Maisha ambako walienda kula bata usiku kucha na hapo inaonekana ni asubuhi.
Aidha xdeejayz ilifanya
juhudi za kuwatafuta wasanii hao ili kuweka bayana kuhusu picha zao hizo za
mahaba na Uwoya ndiye aliyeanza kuvutiwa waya lakini hata hivyo simu yake
iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa na alivyopigiwa Manaiki Sanga na baada ya
mwandishi wetu kujitambulisha na chombo cha habari anachotoka hali ilikuwa
tofauti kidogo kwani msanii huyo alianza kumporomoshea matusi makubwa mwandishi
wetu huku akiituhumu blog hii kuongoza kumchafua kwa kuanika mambo yake ya siri
hadharani.

No comments:
Post a Comment