
 Msanii wa Bongo Movie Steve Nyerere akiwa ameduwaa wakati wa kuaga mwili wa  Marehemu Zuhura Maftah Malisa nyumbani kwao Mikocheni jijini Dar es  Salaam leo
angalia zaidi....


 Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza tayari kwa safari ya kwenda  kuusitili mwili wa marehemu katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar.


 Ndugu na jamaa wa Marehemu Zuhura wakiwa mbele ya jeneza.

 Msanii wa filamu Monalisa akiaga mwili wa marehemu

 Mussa Cloud akiaga mwili

 Dino akiaga mwili

 Kaburi likiwa tayari kwa maziko 

 Jeneza la marehemu likiwa juu ya kaburi tayari kwa maziko

 Jeneza likizamishwa

 Mtoto wa marehemu akisaidiwa kumwaga mchanga kaburini

 Jeneza likiwa tayari shimoni

 Pendo wa Bongo Movie akiaga

Baadhi ya ndugu na jamaa wakiwa makaburini muda mfupi baada ya maziko.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMENI
Na hyperman hk..
No comments:
Post a Comment