TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, September 21, 2013

SIHITAJI KUFANYIWA MAPOKEZI YOYOTE NCHINI TANZANIA:AGNESS MASOGANGE

 

Mtanzania Agnes Gerald, maarufu Masogange, ameachiwa huru na Mahakama ya Kempton ya jijini Johannesburg, baada ya kulipa faini ya R30,000 (Sh4.8 milioni) kwa kosa la kubeba kemikali zinazotumika kutengeneza dawa za kulevya.
Lakini hata hivyo kwa mujibu chanzo chetu cha toka kwa mtu wa karibu na familia ya Masogange amesema msanii huyo hatohitaji mapokezi yoyote pindi atakapowasili nchini kwa vile hao wanaopanga mapokezi ndio wanafiki wakubwa. Ambao walikuwa wanashangilia alipokuwa jela.

No comments:

Post a Comment