TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, September 21, 2013

SHUHUDIA MAUAJI YA KUTISHA YALIYOTOKEA NCHINI KENYA LEO, INASIKITISHA KWA KWELI!


  Na Mwandishi wa Xdeejayz Kenya
WATU waliokuwa na silaha wamefyatua risasi mjini Nairobi, Kenya, kwenye eneo la maduka katika mtaa wa Westlands.

Walioshuhudia tukio hilo, wanasema kuwa maguruneti piya yalitumika.
 Inaarifiwa watu watano wamekufa.(P.T)

Mwandishi wetu mjini Nairobi anaeleza kuwa washambuliaji inaarifiwa walivaa vilemba kama vya al-Shabaab, lakini haikuthibitishwa kama wapiganaji hao wamehusika.


Polisi waliojihami kwa silaha wamezingira jengo la maduka liitwalo Westgate, katika mtaa wa Westlands, na kuna taarifa ya watu waliojeruhiwa wakitolewa hapo kwa machera.

No comments:

Post a Comment