MAMA WA KIZUNGU AELEZA ALIVYOKUSHUHUDIA MWANAE AKIPIGWA RISASI YA SHINGO NA MAGAIDI, MAKOMANDOO WA ISRAEL NA MAREKANI WATUO KUMALIZA UBISHI!
September
21, ni tarehe ambayo Kenya haitoisahau kamwe. Ni baada ya kundi la
wanamgambo wa Al-Shabab lilipoishambulia mall ya Westgate maarufu kwa
kuwa na wateja matajiri jijini Nairobi na kuwashikilia watu mateka,
kuwaua na kuwajeruhi wengine.
Familia ikiwa imeshikana mikono wakati ikitoka nje ya eneo la hatari Mashuhuda wanasema watu hao waliokuwa na silaha, wakiwa na nguo
nyeusi na vichwa vyao vikifunikwa na vilemba waliingia kwenye mall hiyo
ya Westgate jana mchana. Mpaka sasa, idadi ya watu walioshikiliwa mateka
ndani ya mall hiyo haijajulikana.Mama na wanae akiwa amejificha kuhofia kuuawa na watu hao makatili
Mfanyakazi wa Red Cross akimbeba mtoto aliyekuwa ndani ya mall hiyo
Mtoto akikimbia kuokoa maisha yake
Mtoto akiwa nje baada ya kutolewa ndani ya mall, pembeni ni mwili wa mtu aliyeuawa
Zaidi ya watu 40 wameripotiwa kuuawa na zaidi ya 162 wakijeruhiwa.
Mtu na mpenzi wake waliouwa kwa pamoja na wanamgambo hao
Mwanamke akilia kwa woga baada ya kuokolewa na askari
Mwanamke aliyejeruhiwa akitolewa nje kwa kubebwa kwenye toroli la kufanyia shopping
Mwanamke aliyekuwa ameshikiliwa mateka akiwa haamini baada ya kuachiwa
Ofisa wa usalama na wenzake wakielekezana na wenzake mahali walipo watu hao wenye silaha
Polisi akisaidia kumtoa mtoto aliyekuwa ndani ya mall
Polisi na wanajeshi wakipambana na magaidi hao
Mashuhuda wengine wamedai kuwa wanamgambo hao waliwaambia waislamu waondoke na wabaki waumini wa dini zingine.
“Walisema na kusema: ‘Kama wewe ni muislamu, simama. Tumekuja
kuwaokoa,” Elijah Lamau aliiambia BBC. Alisema waislamu waliondoka
wakiwa wamenyoosha mikono juu na kisha watu hao wakawapiga risasi watu
wawili.
Polisi wa Kenya akiwa ameshika tumbo lake baada ya kujeruhiwa huku mwenzake akiendelea kurushiana risasi na magaidi wa Al-Shabab
Polisi wakiingia ndani ya mall hiyo kupambana na wana mgambo wa Al-Shabab
Polisi wakipambana na Al-Shabab
Raia wa Canada Annemarie Desloges, 29, aliuawa kwa risasi na magaidi hao
Wanajeshi walimwaga kwenda kusaidia kupambana na watekaji wa kundi la kigaida la Al-ShababWananchi wa mataifa mbalimbali waliokuwa wakifanya shopping kwenye mall hiyo wakiwambia kuinua mikono yao kuonesha hawana silaha
Gaidi mmoja alikamatwa jana na kufa kutokana na majeraha. Maafisa wa Kenya wameimbia BBC kuwa wengine wanne
No comments:
Post a Comment