Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa (kushoto) akishiriki ibada ya mazishi ya Askofu Kulola.
Katibu
Mkuu wa Chadema, Dkt Wilbroad Slaa (wa tatu kulia), na mkewe Josephine
Mushumbusi (wa pili kulia) wakifuatilia ibada ya mazishi iliyoendeshwa
na Askofu Mkuu Msaidizi wa Kanisa la EAGT, Asumwisye Mwaisabila (hayupo
pichani).
Mjane
wa Marehemu Askofu Kulola, Elizaberth Moses Kulola anayefuta machozi
(wa pili kutoka kushoto) akiwa pamoja na ndugu na jamaa wakati wa ibada
ya mazishi iliyofanyika nje ya Kanisa la EAGT Calvary Bugando.
Kada maarufu wa CCM, Charles Masalakulangwa naye alikuwa ni miongoni mwa waombolezaji.
Mmoja
wa wachungaji waliohudhuria mazishi ya Marehemu Askofu Moses Kuloa,
akifuatilia jambo.
Mchungaji huyo alizua minong'ono kutokana na kufanana
na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Wajukuu wa marehemu Askofu Moses Kulola wakiimba huku wakiwa wamelizunguka jeneza la mwili wa marehemu babu yao.
Jeneza la mwili wa marehemu Askofu Moses Kulola likishushwa kaburini.
Askofu Mkuu Msaidizi wa EAGT, Asumwisye Mwaisabila akiweka udongo kaburini kuashiria safari ya mwisho ya Marehemu Askofu Moses Kulola.
Mjane wa marehemu Elizabert Moses Kulola, akiweka udongo kwenye kaburi la mumewe huku akisaidiwa na ndugu zake.
Rais Jakaya Kikwete, akiweka udongo kwenye kaburi la Askofu Kulola.
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa akiweka udongo kwenye kaburi la Askofu Kulola.
Jeneza la mwili wa marehemu Askofu Moses Kulola likishushwa kaburini.
Askofu Mkuu Msaidizi wa EAGT, Asumwisye Mwaisabila akiweka udongo kaburini kuashiria safari ya mwisho ya Marehemu Askofu Moses Kulola.
No comments:
Post a Comment