TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, September 12, 2013

BAADA YA NDOA YA MZEE MAJUTO KUVUNJIKA: KUMBE ALITAHADHARISHWA KUHUSU HUYO MSICHANA KUWA NI MAPEPE LAKINI YEYE AKANG'ANG'ANI NA KUSEMA ATAKUFA NAE!




 
Na Mwandishi Wetu

MWANAMKE anayedaiwa kufunga ndoa ya siri na mchekeshaji mahiri Bongo, Amri Athuman maarufu kama Mzee Majuto au King Majuto, Rahma Abdallah (20), ameibuka na kudai kutelekezwa na mumewe huyo.



Ndoa hiyo ambayo ilifungwa kwa siri jijini Dar Julai 28, mwaka huu na kudumu siku 44, inaonekana imevunjika rasmi baada ya Mzee Majuto kutoa talaka kupitia kwa msanii wa filamu aitwaye Rehema Omary.

Hata hivyo watu wa karibu na Mzee Majuto waliiambia Xdeejayz kuwa kumbe mzee huyo alishauriwa awali wakati anamchumbia msichana huyo ambae aliyekuwa muhudumu kwenye Saloon ya mwanamuziki Profesa J kuwa bint huyo ni balaa kwa maana hajatulia lakini mzee huyo akabisha na kusema atakapomuoa atamtuliza tu na atatulia.
Hivyo hata ameamua kumpa taraka msichana huyo mrembo mambo yalikuwa yamemfika shingoni na kukumbuka aliyokuwa anaambiwa awali.
 

No comments:

Post a Comment