TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, July 4, 2013

ANGALIA HAPA SIMU ZA MKONONI ZENYE JINA LA CHAMILIONE

 Msanii maalufu afrika mashariki na kati JOSEE CHAMILIONE anaetamba na wimbo wake wa BADILISHA Hivi karibuni alitakiwa kuongeza hoda ya simu za mkononi zinazomilikiwa na yeye baada yakuisha kabisa katika soko, simu hizo zinazokubalika sana uganda,zimekuwa zikimuingizia kipato kikubwa chamilione kila siku. ni simu alizozitengeneza kwa ajili ya watu wa hali ya chini na zenye line mbili.
 Proj J akikabithiwa simu na jose chamilioni ikiwa kwenye box, kwa hapa tanzania ndio mtanzania pekee anaetumia simu hio ya CHAMILION,akiongea na mwandishi wetu Professor jay alisema alipewa vitu vingi  vya thamani sana na chamilion alipokwenda kwenye tamasha lake la BADILISHA CONCERT kama i pad ya kisasa kabisa n,k.
a
WASANII WA TANZANIA JIFUNZENI KUPITIA WASANII WA UGANDA
 FULSA ZIPO

1 comment:

  1. Huo ndio ubunifu katika maisha ya sasa sio wasanii wetu kila wanapojaribu kuanzisha biashara wanadhani ni saloon/ barber shops na maduka ya nguo. Wanatakiwa kufikiri tofauti.

    ReplyDelete