TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, May 22, 2013

UZINZI ANAOUFANYA BUIBUI WASABABISHA ACHELEWE KUPONA MIGUU!


Mwanamuziki "BUIBUI MDUDU MBAYA" akiwa na mwanamuziki mwenzake Manaiki Sanga alipomtembelea nyumbani kwake Magomeni Mikumi hivi karibuni.

 

Mwanamuziki "BUIBUI MDUDU MBAYA" Akiuguza akiwa Hospital siku chache baada ya kupata ajali mbaya ya Pikipiki iliyosababisha miguu yake yote kuvunjika.

Mwanamuziki wa kike Hawa aliyeimba wimbo ulitokea kuwa maarufu wa Ni Wakati Wako na DTV nae pia amekuwa akimtembelea kumjulia hali Buibui.

Na Livingstone Mkoi

Kumekuwa na taarifa kuwa msanii kuchelewa kupona kwa msanii aliyewahi kuwika sana na wimbo wake wa Nimekusamehe Buibui mdudu mbaya kunatokana na mwanamuziki huyo kuendeleza starehe kupita kiasi huku akiwa bado hajiwezi.

Habari za uhakika zilizoifikia Xdeejayz toka dani ya familia ya mwanamuziki huyo zilisema kuwa akiwa bado anatembelea magongo mwanamuziki huyo amedaiwa nyakati za usiku kutorokana kwenda vuwanja kula bata na mademu.

Chanzo hicho kiliendelea kusema kuwa " Tatizo linallokuja hapo pesa za michango anazochangiwa ndizo zinamtia kiburi hivyo kama ni hivyo watu nawasihii wasitishe kumpa pesa za matibau la sivyo mguu huo hautopona na badala  yake unaweza kukatwa kwani anashindwa kujihurumia" Alisema dada huyo aliyepanga kwenye nyumba anayoishi Buibui

Xdeejayz ilivuta waya na kumpigia simu yake ya mkononi msanii huyo ili kuthibitisha madai hayo ya wananchi, lakini kwa bahati mbaya simu yake iliita muda mrefu bila kupokelewa.

No comments:

Post a Comment