TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, May 22, 2013

JUMA KASEJA ALIKIONA KIFO UWANJA WA TAIFA!

Picha mbalimbali za uwanjani zikimuonesha kipa wa Simba Juma Kaseja akiwa amedondoka chini baada ya kuparazwa na shuti kali la Nizar Khalufan ambae ni mchezaji wa Yanga mwishoni mwa wiki iliyopia kwenye pambano lao lililoisha kwa matokeo ya 2-0 kwa Yanga kuibuka na ushindi huo.

Mashabiki wa timu ya Simba walisema kuwa Juma Kaseja alinusa kifo kwa kukoswa na mpira ambapo ni jambo la kumshukuru Mungu mpira huo haukumfikia usoni la sivyo tungeweza kuongea habari nyingine.

Shuti hili dhahili halikuwa la kawaida kwani licha ya kugonga mwamba na kusababisha nguzi kutikisha sekundo kadhaa " Jamani tumshukuru Mungu ebu angalieni kama kile shuti liliweza kutikisha nguzo ambayo iko imara kiasi kile je ule mpira ungemfikia usoni Kaseja hakika pengine ingekuwa majonzi" Alisema Shabiki wa Simba aliyefahamika kwa jina la Hawamu Juma

No comments:

Post a Comment