Diamond akifanya makamuzi sambamba na kundi 
lake.
DAR Live usiku wa kuamkia leo ilitikisika baada ya 
mashabiki kujitokeza kwa wingi kushuhudia onyesho la pamoja kati ya wanamuziki 
wawili nyota wa kizazi kipya, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' na Ney wa Mitego 
ambao walikuwa wakizindua video ya wimbo wao wa 'Muziki Gani'.
Wanamuziki hao kwa pamoja walitoa burudani ya nguvu ambayo ilizikonga nyoyo za mashabiki waliofurika katika ukumbi huo wa maraha uliopo Mbagala Zakhem, jijini Dar.
PICHA ZOTE NA http://audifacejackson.blogspot.com/

No comments:
Post a Comment