TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, May 8, 2013

Miss Kenya, Shamim Nabil akanusha kudate na Mr. Nice

 



Hivi karibuni mitandao ya nchini Kenya iliandika tetesi kuwa huenda Miss Kenya wa sasa, Shamim Nabil anadate na Mr. Nice aliyehamia nchini humo na kwamba walionekana na paparazzi wakila bata pamoja.

Kutokana na tetesi hizo, Shamim ameamua kuzungumza na kukanusha kuwa kamwe hawezi kuwa mpenzi wa Nice Mkenda.

Amesema amekuwa akimfahamu staa huyo tangu akiwa mdogo na Nice si mwanaume wa aina yake

No comments:

Post a Comment