TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, May 10, 2013

MAKING VIDEO YA SNURA YA WIMBO WA MAJANGA SOUTH AFRICA

 Video ya wimbo wa MAJANGA wa SNURA imefanyika katika nchi mbili tofauti ambapo ni TANZANIA na SOUTH AFRICA kwa TANZANIA itafanyika magwepande wilaya ya pwani  hivi karibuni kumalizia vipande vya video hiyo na SOUTH AFRICA imeshafanyika katika mji wa PRITORIA NA JOHANESBUG. ni video inayoonyesha mazingira halisi ya wimbo huo kwa kila eneo, mastar mbalimbali wataonekana katika video hiyo ya majanga akiwepo JACKLINE WOLPER,CHUCHU HANS,CHEK BUDI,DUDE, na wengine kibao.Akiongea manager wa SNURA hemedi kavu a.k.a hyperman hk.alisema video hiyo kwa sasa inafanywa na kampuni ya EMAGE ARRAY chini ya msimamizi mahiri na machachari ABBY KAZI.
 Siku ya jumanne ijayo ya tarehe 14 tunategemea kwenda magwepande kumalizia vipande vya VIDEO hiyo ya wimbo unaotikisa jiji kwa sasa wa majanga uliotengenezwa katika studio za FIRE MUSIC chini ya producer mkali MORE FIRE.




kumzaa nimzae mie,Kumlea nimlee mie,matusi anitukane yeyeeeeee



Chezea mama talha wewe!!

Kaa mkao wa kula moja kati ya video za kiafrica zitakazovuka boda majanga ya snura ndio habari ya mjini.

1 comment:

  1. kiukweli katika wasanii wa upande wa akina dada wanaoelewa wanacho kifanya snura ni mmoja wapo pia na kupa ongera zako dada angu kwa harakati zako hizi maana kuna siku uliniambi unataka kuacha muziki kutoka na maudhi na kudhalauriwa ila nikakusihi usifanye hivyo kwakua ni changamoto za muda tu. nashukuru ukudharahu mawazo hayo!usikate tamaa jitambue hepuka hansa ili uwe mkali zaidi kwa hiki unacho kifanya baada ya mwana dada jay dee ufate wewe!!mungu akubariki sana!!salute.

    ReplyDelete