TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, May 3, 2013

DTV KUONESHA MECHI YA MCHEZO WA RUGBY KATI YA RHINO'S YA ARUSHA NA DAR LEOPARD FC!

 Kocha mkuu Jonathan T. wa timu ya Dar Leopard   ya Jijini Dar  akiwapa maelekezo wachezaji wake masaa machache kabla ya pambano la timu hizo.
 Wachezaji wa  Dar Leopard  wakitoka uwanjani baada ya mechi kali ya timu hizo pinzani nchini

Picha ya pamoja ya timu ya  Dar Leopard kabla ya mechi

Hapa ni mmoja wa wachezaji wa timu ya Dar Leopard Livingstone Mkoi akiwa kwenye hisia za kimchezo  na kuondokana na hali ya kibinadamu kama sheria ya mchezo huo inavyosema.
 Kocha mkuu Jonathan  wa timu ya Dar Leopard   ya Jijini Dar  akiwapa maelekezo wachezaji wake na kuwataka akili zao kuhama  katika ubinadamu na kuwa kama za wanyama.

 Hapa mchezo umeisha ilikuwa ni balaa kubwa sana uwanjani
Picha ya pamoja kati ya timu ya Rhino's na Dar Leopard

Na Mwandishi Wetu

Kituo namba moja cha burudani nchini kupitia kipindi chake chake cha Sport Live cha DTV siku za hizi karibuni huenda kikaanza kuonesha mechi zote za mchezo wa Rugby wa mechi zote za timu ya Dar Leopard Fc ya Jiji Dar.

Akiongea na Xdeejayz mwenyekiti wa timu hiyo"Chairman" Aliyejitambulisha kwa jina la Philips ambae ni raia wa Ufaransa alisema" Tayarai tumeanza kufanya mazungumzo na kituo hicho kwa ajili ya kutupa nafasi ya kuonesha mechi zetu na hii italeta hamasa kubwa kwa watanzania kuupenda mchezo huo" Alisema 

Aidha kiongozi huyo aliongeza kusema 

No comments:

Post a Comment