TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, May 8, 2013

Alichokisema PROF. JAY Kuhusu Show Ya Miaka 13 Ya LADY JAYDEE ...

 


Rapper mkongwe kabisa katika tasnia hii ya muziki wa BONGO FLAVA maarufu kama Prof. Jay nae ameonesha nia ya kuwa mmoja kati ya watu ambao watakaoshiriki katika show ya mwanadada LADY JAYDEE ...

Prof. Jay ambaye nae ameshirikishwa kwenye wimbo mpya wa Jide inayokwenda kwa jina la Joto, Hasira ametweet kwa kuandika "[@Profesa_Jay] Nitakuwa na kwenye show yake ya miaka 13 ya LADY JD, Kwa NGUVU zangu zote, AKILI zangu zote na UWEZO wangu wote, KARIBUNI SANA!!"

No comments:

Post a Comment