TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, September 4, 2012

NEY WAMITEGO AWACHANA LIVE WEMA SEPETU NA ANT EZEKIEL KWENYE FIESTA

 Mkali wa bongo fleva mwenye kuthubutu kuimba nyimbo na kuwachana watu tena kwa kuwataja majina wikiendi iliyopita alimtaja live wema sepetu na ant ezeker.  katika kipande chake cha nyimbo kinachosema makahaba wengi wapo bongo movie, akabadilisha kwa kusema bongo fleva kicheche kama wema sepetu na ant ezekiel kitendo hicho kilimfanya wema sepetu alie sana kiasi cha hata kushindwa kupanda kwenye jukwaa la fiesta mkoani mwanza. Na kwa upande wa ant ezekiel ilifikia wakati mpaka akataka kumrushia ngumi ney wamitego lakini watu walimuamulia,akiongea na xdeejayz ney wamitego amesema hajakosea kusema vile amemaanisha kabisa kweli hawa watu matendo yao yanaendana na ukahaba.
Ney wamitego akiwa stegini mwanza kwenye fiesta

No comments:

Post a Comment