Senatory new york malcom smith
Sasa Senator wa mji huo Malcom Smith amepiga stori na
vyombo vya habari na kufunguka kwamba jamaa anatakiwa aombe msamaha kwa kauli
yake hiyo ya kusema anauchukia mji wa New York endapo haita kuwa hivyo basi
biashara yoyote ile inayo muhusu Lil Wyne haito fanyika katika mji huo na
watazuia mauzo yote ya kazi zake pamoja na wasanii wake.
Birdman nae alikuwa anafanya interview na ''FUSE'' na pia
akaulizwa juu ya kauli alizotoa Lil Wayne za kuichukia New York. Unataka kujua
alisema nini? Inawezekana New Yorkers hawatapenda alichokisema yeye pia ila kwao
wao ni, ''LIKE FATHER LIKE SON ANACHOSEMA WAYNE NI
SHERIA
Na hiki ndicho alichokisema lil wayne
No comments:
Post a Comment