TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, May 24, 2012

VIP PARTY NDANI YA UKUMBI WA TAIFA WA BURUDANI TANZANIA MAISHA CLUB DAR


Unamcheki mnyama Nico Truck akiwa na mmoja wa wadau wa maisha club kwenye party wakipiga nyama choma na cocktail......

 Kama unavyo waona wadau wanavyokula raha ndani ya maisha club Dar kwenye Vip party

 Hao ndio baadhi ya mastaa wa VIP members wakiwa wanasikiliza speach iliyokuwa ikitolewa na uongozi wa Club Maisha.. Wamependezaa sio?

 Huyu ni Mdau na mkereketwa mkuu, kwa wale wanaokuja maisha VIP wakiwa hawana Hadhi ya kuingia, na mara aingiapo mtu huyo, uanza kusumbua kwa udanandaa... Mmenisomaa


Chief Security Mnyamwezi Manoris A.K.A Handsome Bouncer wa Maisha Club, akiwa Na Roberty one of club maisha manager.. kwenye pozi la x corner..

 Maisha Club Queens of the year ndio hawa hapa, ney nai nai akiwa na Queen mwenzake, ndani ya pozi la ukweli baada ya kupiga copcktail

Maisha Club Queens of the year wakiwa na mwenzao Queen Margrate na Mdau wa maisha wakiwa kwenye pozi la ukweli..

No comments:

Post a Comment