TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, May 24, 2012

MAISHA CLUB DAR LEO ... TWANGA PEPETA NDANI YA NYUMBA

   Africa Stars (ASET) Wana Twanga Na kupepeta, Kama kawaida Leo watakuwa Ndani ya Maisha Club Dar, kama Ada kwa kila Alhamisi.
   Kwa wale ambao hawajamskia Luiza Mbutu jana, Ni kwamba wao ni kama shamba la bibi, kupanda ndio kazi yao, hivyo wale wote waliondoka tangu hapo mwanzo hawaizuii twanga kuwika, na kama unabisha hebu dhubutu leo ndani ya maisha club na utajionea mwenyewe.

"Njoo ujionee minenguo na show ya ukweli" huyo ni luiza mbutu akiongea na xtremedeejayz.blogsports.com

No comments:

Post a Comment