TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, March 24, 2014

BONGO MOVIE UFUSKA 100%. WAZAZI WASHAURIWA KUACHA KUWARUHUSU WATOTO WAO KUJIINGIZA KWENYE SANAA EBU ANGALIA PICHA HIZI..!

.

Baadhi ya mastaa wakionyeshana ufundi wa kucheza.
Tukio hilo lilijiri kwenye Ukumbi wa Letasi Lounge uliopo maeneo ya Victoria, Dar wikiendi iliyopita ambapo kulikuwa na Kibao Kata cha mtoto wa mjini, Rose Alphonce Nungu ‘Muna Love’.
...Ilikuwa ni full kukata mauno ndani ya Letasi Lounge.
Likishuhudia tukio hilo, Ijumaa Wikienda ambalo lilijipenyeza ndani ya nyumba, lilifuatilia kila aina ya tukio huku likifikisha ripoti kwa mkuu wake ambaye alikuwa ofisini akipokea matukio ya Live Dijitali.
...Burudani baada ya kukolea, hali ilikuwa hivi.
Ndani ya ukumbi huo lilishuhudia laana za aina yake ambazo zilikuwa zikiongozwa na mwenye shughuli ambaye alikuwa akikata mauno ya ajabu kwa staili ya ‘baba na mama’ chumbani.
Husna Maulid akionyesha ufundi.

CRDT: XDEEJAYZ TANZANIA

No comments:

Post a Comment