- Madaktari wa Kimarekani ambao hivi karibuni walikuwepo nchini kwa ajili ya uchunguzi wa mitishamba za Dokta Kamdege.
Na Sakina Shabani
Yule mganga maarufu nchini ambae amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na kuwafanikisha maelfu ya watanzania mambo yao ya kimafanikio aliyefahamika kwa jina la Dk Kamdege ameendelea kuwaumiza vichwa Wazungu kwa mambo anayoyafanya.
Mdanga huyo ambae kwa sasa yuko Mkoani Tabora na ndiko anakoishi ametokea kuwa lulu nchini na nje ya nchi kutokana na kuzijua miti shamba za kutosha na kuwatolea watu mikosi na kufanikiwa kimaisha na kuwa na mali nyingi huku mambo yao yakienda sawa.
Aidha katika hali nyingine mganga huyo amekuwa kipenzi cha vigogo wa Serikali na vyama vya Siasa kwa kuwang'arisha nyota zao na kufanikiwa kuweka sana mambo yao na siku za hivi karibuni alikuwa Bungeni Mkoani Dodoma ambako alikuwa amealikwa na Waheshimiwa hao,
Hata hivyo mganga huyo ameendelea kutoa uwito kwa watanzania popote walipo Duniani kumtafuta kupitia simu namba 0788-844490 ambapo moja kwa moja wataongea nae na atawasawazishia mambo yao wakiwa huko huko nje ya nchi na mafanikio watayaona muda mchache baada ya kupata baraka zake.
No comments:
Post a Comment