TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, December 12, 2013

WANAWAKE WALIOKAMATWA WAKIWA WAMEWEKA MADAWA YA KULEVYA KWENYE MAKALIO WAHUKUMIWA KWENDA JELA!



1
January 2013 kuna Wanawake wawili walikamatwa kwenye Uwanja wa ndege wa JFK New York Marekani wakiwa wametumia mbinu ya kubeba dawa za kulevya zenye thamani ya dola za Kimarekani laki nane na nusu.
Mmoja wa hao Wanawake hao waliokua wakirudi  Dominican Republic, Michelle Blassingale mwenye umri wa miaka 36 amehukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani.

Wakati wa kukamatwa kwao, mmoja wa wawili hawa ambae ni Priscilla Pena alionekana kuwa muoga kabla ya Askari kumshtukia ambapo baadae ilikua kujulikana hii mbinu ya kubeba dawa za kulevya kwa kuzivaa kama nepi ilimfanya kila mmoja wao kubeba kilo mbili na nusu za dawa hizo.
2
"UZINDUZI WA CLUB MAISHA MOROGORO HAIJAWAHI TOKEA NI TAREHE 19-20 XTREME DJ LIVE DRUMMER WAPANIA KUFIA STEJINI"

No comments:

Post a Comment