TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, December 2, 2013

HII NDIYO LAANA KUM YA KUNDI LA BAIKOKO, WACHEZA UCHI MBELE YA WATOTO WADOGO, WANAICHI WAOMBA KUNDI HILI KUFUNGIWA KWANI LINAONGOZA MAAMBIKIZI YA UKIMWI MKOANI TANGA!!!

 Hapa mmoja wa wacheza shoo wa kundi hili akicheza kwa style ya mchuchumaa. XDEEJAYZ LIVE

 Mishangingi ya kundi hilo ikiwa na bia pembeni kabla ya kuanza kucheza uchi

 Kiongozi wa kundi hilo la Baikoko toka Tanga ambae hakufahamika jina lake akiwimbia wacheza show wake.

 Mishangingi hiyo ikijishaua kabla ya kuanza kumwaga radhi.


 Wakina dada hao ambao tayari vichwa vyao vikiwa vimekolea moto.



Namna hii.
Na Sakina Shabani
Wakati Serikali ikitoa tamko la watu wenye tabia ya kuwapiga picha wenza wao kisha kuzipachika mitandaoni kuacha mara moja na ikitokea mtu na mpenzi wake wamefanyia hivyo basi muhusika asisite kwenda kufungua mashtaka kwa vile kufanya hivyo ni kosa la Jinai.
Lakini hata hivyo licha ya kauri hiyo ya Jamhuri hali imeendelea kuwa tete ambapo siku chache tu tangu taarifa hiyo itolewe na Waziri wa Ulinzi Mh Emmanuel Nchimbibado kumekuwa na tabia za watu kujipiga picha wenyewe kisha kuzisambaza mitandao kwa makusudi.
Moja ya picha hizo ni za kundi maarufu kwa uchezaji uchi la Baikoko limefyatua DVD yao inayoonesha wakicheza uchi uchi mbele ya watoto wadogo huku hakuna mtu wa kuwakemea.
DVD hiyo ambayo imesambaa mtaani kwa sasa na huku ikionesha hata kwenye mabanda ya kuoneshea video huku wananchi wakilani vikali tabia hiyo kwa kusema inachochozea maambukizi ya gonjwa hatari la Ukimwi.
"GAZETI LA MASKANI BONGO LITAKUWA MTAANI TEREHE 11 MWEZI HUU USIKOSE KOPI YAKO KWA SHILINGI 500 TU"

No comments:

Post a Comment