Watu 11 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi la Burudani walilokuwa wakisafiria kutoka Korogwe kwenda Dar es salaam kupinduka katika kijiji cha Taula Handeni huko Tanga.
Habari hii imeripotiwa kama breaking news kupitia ukurasa wa facebook wa Radio One Stereo.
No comments:
Post a Comment