TANGAZO MAALUM
TANGAZA NA SISI
Thursday, December 12, 2013
MASKANI WEMA SEPETU, PRODYUZA WAKE AMVUA NGUO, AMWAMBIA TENA AKAE KIMYA LA SIVYO ATAFICHUA MAKUBWA YANAYOENDELEA NDANI YA KAMPUNI YA ENDLESS..!!!
. Tangu Blog ya Xdeejayz kuwa ya kwanza kuripoti taarifa za Prodyuza wake kutumia vibaya magari yake kwa ufuska na baadae habari hizo kusambaa kwenye mitandao yote na baadae kwenye magazeti pendwa, hatimae Prodyuza huyo nae amejibu mapigo kwa Wema akisema kuwa alikuwa anatumuia kwa kumkuhadia mabwana.
Kwa mujibu wa habari ziliandikwa kwenye gazeti moja nchi zilisema Chid nae ameamua kumjibu Wema na kumuamuru kukaa kimya huenda akalipua mambo makubwa kuhusu kampuni ya Endless.
"WAKAZI WA MOROGORO WAANZA KUPANDWA NA PRESURE KWA AJILI YA UZINDUZI WA CLUB MAISHA 19/12/2013"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment