Na Mwandishi Wetu
Walinzi wa kampuni moja ambayo haikufahamika mara moja hivi karibuni walikutwa wakiuchapa usingizi mwanzo mwisho muda wa kazi.
Walinzi hao walikutwa maeneo ya Posta Jijini Dar na kushuhudiwa na paparazi wetu ambae aliwafyatua picha kibao bila wao kushtukia.
"CLUB MASIHA MOROGORO KUZINDULIWA TAREHE 19-20 MWEZI HU, XTREME DEEJAYZ KUWASHA MOTO"
No comments:
Post a Comment