Hapa Aunt Lulu akiwa bonge bonge baada ya kuendekeza kula Kitimoto na Bia.
Hapa Aunt Lulu kipindi hicho akitisha Jiji kwa urembo kutokana na mvuto wa mwili wake.
Hapa akiwa hajitambuia kwa ulevi wa kupindukia hadi kuzima, hali inayohataraisha maisha yake.
Nyama ya Kitimoto ambayo imekuwa ikipendwa sana kuliwa na mastaa wengi, ambapo kwa sasa Kilo moja imefikia kiasi cha shilingi elfu 10000 kwa baadhi ya maeneo.
Lulu akionesha "Mtindi" wake mbele ya waandishi maeneo ya Leaders Club hivi karibuni na tayari alikuwa ameshalewa
Na Sakina Shabani
Mtangazaji wa siku nyingi nchini Lulu Semagongo amesema kuwa kuendekeza kula kitimoto na kunywa pombe kumemuharibu vibaya mwili wake hadi sasa anaonekana bibi mtu mzima.
Akiongea na mtandao mmoja hivi karibuni Lulu alisema" Unajua kitimoto ni hatari sana kimeniharibu vibaya vibaya ona nilivyonenepeana utadhani nguruwe" Alisema Lulu
Hata hivyo Lulu ambae hapo kwenye moja ya picha zake anaokana alikuwa na mwili mzuri kabla ya kuruhusu unenepaji huo.
"TAREHE 19-20 MWEZI HUU MKOA WA MOROGORO UTAKUBWA NA MTIKISIKO TOKA KWA XTREME DEEJAYZ LIVE DRUMMER NDANI YA CLUB MAISHA MPYA"
No comments:
Post a Comment