Baunsa maarufu Jijini Dar Rose akimfungulia mlango gari Azonto
Na Sakina Shabani
Mwanamuziki
raia wa Ghana anaeishi nchini Uingereza FUSE ODC Maarufu kwa jina la Azonto
amempa shavu baunsa maarufu nchini Mwarabu Seleman Mirundi maarufu kwa jina la Rose ya kumpa ajira ya kudumu ya kumlinda
kwenye.
Akiongea na
Maskani Bongo baunsa huyo alisema kuwa “ Nimepewa shavu hilo na Azonto baada ya
kufanyanae kazi hivi karibuni alipokujaa nchini kimsingi mshikaji amenikubari
na tayari ameshanitumia pesa yaa nauli na yakurekebishia mambo mengine hivyo
huenda siku za hivi karibuni nitapasua anga kuelekea Uingereza” Alisema Rose
Azonto ambae
alikuwa nchini miezi michache iliyopita aliletwa na kituo cha Radio Times na
kufanikiwa kufanya onesho kubwa na la kihistoria kwenye viwanja vya Ustawi wa
Jamii Jijini Dar na kuhudhuriwa na maelfu ya wananchi.
Baunsa huyo
ambae pia ni mcheza mieleka wa kujitegemea ambae hivi karibuni alikuwa nchini
Iran kwenye mapambano ya mchezo huo.
"SOMA GAZETI LAKO PENDWA LA MASKANI BONGO KILA SIKU ZA JUMATANO"...... UZINDUZI WA CLUB MAISHA MORO HAIJAWAHI TOKEA NI 19/12/2013
No comments:
Post a Comment