TANGAZO MAALUM
.
TANGAZA NA SISI
Tuesday, April 2, 2013
MECHI YA MCHEZO WA RUGBY ILIVYOCHENGUA KWENYE VIWANJA VYA IST YA MASAKI JANA KATI YA TIMU ZA DAR LEOPARD NA FREGATE LE COURBET YA UFARANSA!
Hapa mmoja wa wachezaji nyota wa team ya Dar Leopard Livingstone Mkoi katikati aliyeshika bia ya Kilimanjaro muda mfupi baada ya mechi hiyo ya kukata na shoka iliyofanyika jana kwenye viwanja vya IST Masaki Jijini Dar es Salaam.
Hapa mchezaji Livingstone kulia akiwa ameongozana na mchezaji wa team pinzani
AGNESS MASOGANGE ATUPIA PICHA INSTAGRAM, AKIWA ANAFANYA MAMBO YA KIKUBWA NA MPENZI WAKE, TAZAMA PICHA HIZO HAPA
Baada ya ukimya wa muda mrefu sasa Agnes Masogange inaelekea alimiss sana kuandikwa kwenye mitandao ya kijamii. Kudhihirisha hilo ameamua kutupia picha katika mtandao wa instagram akiwa na mpenzi wake wakiwa wanafanya mambo ya kikubwa. What is the meaning of this kama sio kutaka kuandikwa na wadaku katika vyombo vyao vya habari?????????? Ushauri wangu kwake, atafute kitu productive, aandikwe kwa mazuri na sio huu upuuzi anaofanya....naamini akifanya jambo jema pia ataandikwa, na huo ndio umaarufu mzuri, sio kuachia picha za uchi uchi na za ngono
Ni hayo tu......
Monday, April 1, 2013
P-SQUARE SASAWAWEKEZA KWENYE BIASHARA YA MAFUTA...
Kundi la wasanii kutoka Nigeria ambalo linafanya vizuri sana katika tasnia ya muziki Africa likijulikana kama P-Square,ambapo kwa sasa wanatamba na track yao inayojulikana kama ''Alingo'' sasa wawekeza pesa za kutosha katika biashara ya uuzaji wa mafuta.
Peter aliefunguka kwenye ukurasa wake wa twitter kwa kusema hayo na pia kwa kutupia picha kadhaa ambazo zilimuonesha yeye na kaka yake wakiwa katika moja ya sehemu ya kutunzia mafuta.CHECK OUT YALIYOJIRI X TREME TRIPLE BASH @NEW MAISHA CLUB DOM MKESHA WA PASAKA


![]() |
![]() |
![]() |
| Mkali Chidi Nyau & Dj Tariq |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
| Msouth akipokea zawadi ktk kilimanjaro |
![]() |
| S Dizzo mzee wa pamba: |
![]() |
![]() |
| Boss ngasa & kulazablogspot.com |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
| HK MNYAMA & DJ STIVI BEYBE |
![]() |
| DJ STIVE, BOSSNGASA,& DJ HUNTER ZE SNIYPER |
![]() |
| DJ HUNTER ZE SNIYPER & HK |
![]() |
![]() |
| Dj abou mkali & Dj curter |
![]() |
![]() |
| Dj stive beybe akiwa na beybe: |
![]() |
| Wadau wa kilimanjaro wakienjoy na camera ya fullbata |
![]() |
![]() |
| fullbata |
![]() |
| Dj abou mkali & HK |
![]() |
| Msouth kato akipokea zawadi kutoka kilimanjaro |
Subscribe to:
Posts (Atom)



























