TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, August 26, 2015

KIMENUKA: UKAWA, FILAMU YA "WAKE UP" KUTISA JANGWANI JUMAMOSI HII KWENYE MKUTANO WA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI, MAELFU YA WATU KUISHUHUDIA LIVE..!

 Staa wa filamu ya Wake Up Manaiki Sanga akiwa na wasanii wenzake kwenye mkutano na waandishi wa Habari kuhusu taarifa sahihi ya  siku ya kutoka filamu hiyo ambayo ni Jumatato tarehe 31. itakuwa mtaani lakini hata hivyo filamu hiyo itavunja rekodi wiki hii kwa kuibukia mkutano wa Chadema kwa ajiri ya maelfu ya watu kuiona Demo yake kabla ya Jumatatu kuipata kamili.

Wasanii Manaiki Sanga na Prince Kass "Muhindi wa Masogange" wakiwa kwenye kituo cha TBC1 kufanya mahojioni na kipindi cha Ulimwengu wa Filamu jana pia kuelezea namna Filamu hiyo itakavyopamba ufunguzi wa kampeni za UKAWA Jangwani huku Televisheni hiyo ya Taifa ikitarajia kurusha live matangazo ya Mgombea wa Ukawa moja kwa moja kama vituo vingine vitakavyofanya.


 

No comments:

Post a Comment