TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, July 31, 2015

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA AFANYA MAMBO YA KUSHANGAZA HADI WANANCHI WAPIGWA BUTWAA. MASKANIBONGOTZ..!




 HAPA MKUU WA WILAYA AYA KINONDONI AKIWA AMEKAA CHINI KWENYE MCHANGA.
Credit; Maskanibongotz
Na Livingstone Mkoi
 Katika hali ya kushtua na kushangaza mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mheshimiwa Paul Makonda leo Ijumaa amewashangaza mamia ya wakazi wa kijiji cha Nakasangwe huko Tegeta Jijini Dar baada ya kuacha kukalia kiti badala yake ameenda kukaa chini kwenye vumbi pamoja na wakina mama waliokuwa wamekuja kumsikiliza wakati alipokuja kusikiliza mgogoro wa ardhi katika eneo hilo. Mtandao wa Maskanibongotz ambao ulikuwa kijijini huko kushuhudia kikao hicho kilichokuwa baabu kubwa kutokana na wanancha wa eneo hilo kuwashutumu maofisa ardhi kudaiwa kutumiwa na watu wenye pesa ili kuwakandamiza. Hata hivyo katika kikao hicho Mh Makonda amesema atapigana kufa kupona ili wananchi hao wapimiwe ardhi yao ili waishi kwa amani.
Credit; Maskanibongotz

No comments:

Post a Comment