Ktika hali isiyotarajiwa picha za aibu zilizosambaa mitandaoni za Mh Kapten John Komba Mbunge wa Jimbo la Mbinga Mashariki ambazo kwa mujibu wa Mbunge huyo zinadaiwa kusambazwa na wabaya waake kwa kutengenezwa kwa lengo la kumchafua.
Hata hivyo habari zaidi zinasema kuwa wasi wasi mkubwa umeendelea kumkumba Mh huyo kwani huenda wabaya wake wakatengeneza picha zaidi za kumdhalilisha kwa lengo la kumuharibia kwa wanaanchi wake.
No comments:
Post a Comment