MTU ANAEDAIWA KUWA MWANAJESHI AMEPIGWA VIBAYA NA ASKARI WA USALAMA BARABARANI MCHANA WA LEO MAENEO YA MAKUMBUSHO JIJINI DAR HADI KUVUNJIKA MBAVU MBILI..!
Mwanajeshi apigwa na Askari wa Usalama!
Askari wa Usalama barabarani eneo la Makumbusho, Dar wakimpiga Dereva wa gari ambaye amejitambulisha kama mwanajeshi! Tukio hili limetokea mida ya saa 9 mchana huu. Bado haieleweki chanzo ni nini. SOURCE JAMII FORUM
No comments:
Post a Comment