TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, April 3, 2014

MASAA 24 TOKA IACHIWE HEWANAI RADIO MPYA YAWAKUNA WAKAZI WA MIKOA YA PWANI, TANGA NA DAR. KAMA BADO HUJATUNE ISIKILIZE SASA KUPITIA MASAFA YA 93.7 FM NI BURUDANI MWANZO MWISHO..!



Miji ya Pwani, Tanga na Dar ambayo tangu jana maelfu ya wananchi wamepata burudani ya kipekee toka 93.7 FM ambayo kwa sasa inapatikana hewani burudani mwanzo mwisho.
Na Livingstone Mkoi
Ni masaa 24 tangu kituo kipya radio ya burudani kiachiwe hewani wananchi wengi wamesuuzika mitima yao kwa burudani za kipekee na kushindwa kuamini kinachoendelea.
Radio hiyo inayopatikana kwa masafa ya 93.7 FM yenye makao yake makuu Jijini Dar rasmi imeanza kupatikana hewana jana tarehe 2/3/2014 na zaidi ya mikoa sita imeanza kusikika radio hiyo ambayo ni Zanzibar, Tanga, Pwani yote kwa maana ya Bagamoyo, Mkuranga, Kiparang'anda, Kisiju, Utete, Kibaha, Chalinze na maeneo yote ya pwani.

Halikadharika pia inapatikana Mkoani Morogoro yote bila kusahau Jijini Dar ambako mitaa yote sasa habari ni moja tu 93.7 FM ambapo ni burudanu mwanzo mwisho.
Kwa mujibu wa kiongozi mmoja wa radio hiyo aliiambia Xdeejayz kuwa" Watanzani wanaweza kuisikiliza raadio hiyo mahala popote walipo kwenye ndani ya simu yako ukiweka 93.7 fm utaibapa vizuri, ukiwa kwenye mtandao Internet kwenye Multiplayer 93.7 fm inasikika vizuri, pia walioko kwenye magari ama majumbani kote huko inasikika vizuri bila mawimbi na hiyo inatoka na mitambo ya kisasa ya kituo hicho iliyofungwa kwenye milima ya kisarawe na Makongo Juu" Alisema MD huyo.

No comments:

Post a Comment