TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, March 19, 2014

SHILOLE ATAKIWA KUTAFUTA WASHAURI ILI WAMSAIDIE KUFIKIRI KWENYE KILA JAMBO ANALOLIFANYA KWANI ALICHOKIFANYA HAPA NI AIBU KWA TAIFA..!


shilole

‘Chuna buzi cafe’ ni moja kati ya jina la mgahawa wa msanii kutoka hapa bongo, wa kuitwa Shilole Mohamed a.k.a Shishi baby ambaye anakomaa na jiji ambapo anatarajia kufungua mgahawa wake wa chakula maeneo ya nyumbani kwao Mwananyamala jijini Dar es Salaam.
Shilole akizungumza na BLOG hii ameelezea kwa kuwa ana taaluma ya Hotel Management na pia mama yake alishawahi kuwa ‘mama ntilie’ kipindi cha nyuma na pia Shilole ameshawahi kufanya kazi Peacock Hotel, Florida, na kwa sasa kila kitu kinaenda sawa ni yeye tu mwenyewe wakati wowote anaweza akafungua.
Hata hivyo mashabiki wa mwanamuziki huyo wamemshauri msanii huyo kutafuta watu waliomzidi akili ili wame wanamshauri kwa kila jambo analolifanya ili kumsaidia kwani mara nyingi amekuwa akichemka mambo mengi katika maisha yake na hii inatokana na ufinyu wa fikara zake, na hiyo inatokana na mwisho wake wa kufikiria mambo kuishia hapo.
 

No comments:

Post a Comment