Baada ya kuzuka kwa taarifa kuwa Mtangazaji Maarufu wa Redio One kuhamia Clouds Medei kutoka Radio One na ITV Godwin Gondwe maarufu kma Double G taarifa mpya zimesema mtangazaji huyo isiingekuwa rahisi kukwepa kitita kinono cha pesa alichokuwa pandiwa na Clouds Medio ambacho kinadaiwa ni milioni sabini. Akiongea na Xdeejayz mmoja wa marafiki wakubwa wa mtangazaji huyo alisema ni kweli kuna taarifa hizo za Gondwe kupandiwa dau hilo nono hivyo isingekuwa rahisi kukwepa.
No comments:
Post a Comment