TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, February 20, 2014

SNURA NA MMILIKI WA BLOG MAARUFU YA BOSSNGASA WANASWA MAZINGIRA TATA USIKU MNENE, WENYEWE WAJITETEA ETI WANAFANYA..., AMPIGA MKWARA MZITO MWANDISHI WA XDEEJAYZ !

 Na Mwandishi Wetu
  Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua mmiliki wa blog maarufu ya Bossngasa amenaswa na mwanamuziki nyota na msanii Nsura Mushi wakiwa club ya usiku ya  ROYAL VILAGE iliyopo Mkoani DODOMA jana usiku.
Kwa mujibu wa chanzo chetu kilisema Bossngasa alinaswa akiwa na mwanamuziki huyo usiku mnene hali inayoleta utata na kujiuza biashara gani waliyokuwa wanaizungumza usiku wote huo.
Hata hivyo Xdeejayz ilifanya jitahada za kumtafuta Bossngasa ili kuelezea walikuwa na biashara gani maeneo hayo ambapo kijana huyo mtanashati alisema " Wewe kijana vipi kwani kupiga picha na Snura kuna tatizo acheni hizo hayo mambo ya kuharibiana sitaki mimi mwenyewe mwandishi pia" Alifoka kijana huyo
Bossngasa aliendelea kupiga mikwara mizito na kumtishia mwandishi wetu kwa kusema" Sasa wewe dada nakwambia andika hiyo habari uone watu wasiongee biashara zao kwani kuna sheria gani inayokataza watu wasiongee bishara usiku wa manane acheni hizo bwana" Alisema bossngasa ambae alionekana tayari kichwa kilikuwa kimechamka kwa kilaji.

Aidha nae Snura alipotafutwa alisema kuwa Ngasa ni mdau wake siku nyingi tangu akiwa mtoto mdogo hivyo haoni tatizo la kupiga nae picha isitoshe hizo picha hazionesha kama amekumbatiwa ama kufanya upuuzi wowote hivyo vyovyote sawa tu.
"IJUMAA HII NI NOMA NDANI YA CLUB MAISHA" 

No comments:

Post a Comment