TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, February 21, 2014

“Hili bunge limejaa washenzi na wahuni sijapata kuliona toka tupate uhuru”….Mtikila


MTIKILA

Mchungaji Mtikila leo huyu jamaa amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge hilo mana limechaguliwa kihuni.
Nasema hivi wambieni kabsa nimesema hili ni bunge la kihuni limechaguliwa kihuni ndio maana unakutana na mambo ya kishenzi mnayoendelea kuyaona.
Nasema tangia uhuru sijapata kuona bunge la kihuni kama hili.
Sitoshangaa maamuzi ya kihuni na kishenzi kutokea siku tunaagana pale nje.
Huyo ni rev. Christopher Mtikila.
Source: BBC swahili, JF

"LEO NDIYO LEO CLUB MAISHA DAR HAPATOSHI"

No comments:

Post a Comment