TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, December 17, 2013

RICH MAVOKO KUMPOTEZA VIBAYA DIAMOND 2014-DOKTA KAMDEGE


 
Dokta Kamdege mtaalamu wa Mitishamba na amekuwa kivutio kikubwa kwa mastaa waheshimiwa na wasanii mbalimbali Afrika mashariki na kati, huku akisaidia watu kupata pesa, kuolewa au kuoa kufanikiwa kwenye biashara nk.


Na Mwandishi Wetu
Mganga mashuhuri nchini na mwenye sifa kubwa Dk Kamdege amesema kuwa mwanamuziki Rich Mavoko atamfunika vibaya mwanamuziki Diamond  kimafanikia ya muziki ifikapo mwaka 2014.
Akiongea na Xdeejayz kwa njia ya simu namba 0788-844490 toka Shinyanga alisema" Mwaka 2014 utakuwa wa mafanikio kwa mwanamuziki Rich Mavoko na huenda akampoteza vibaya mwanamuziki Diamond" Alisema Kamdege ambae ni mtaalamu wa miti shamba.
Aidha Dokta Kamdege ambae ni maarufu kwa kuwapatia umaarufu na pesa wanamuziki, wasanii wa bongo movie pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali huku akitumia miti shamba tu kumpatia mtu umaarufu pamoja na mafanikio sio kama madokta wengine wanavyofanya kuwatapeli.
Hata hivyo Dokta Kamdege amekuwa kivutio kikubwa sana kwa wananchi wa Tanzania na nje ya 

Tanzania ili na humsaidia mtu hata kama akiwa nje ya nchi. Rich Mavoko ambae anatamba na wimbo wa Roho Yangu licha ya kutabiliwa hivyo na Dokta huyo lakini nyota yake imeonekana kuwa juu na kama vyombo vya habari vikimpa nafasi basi atafunika.
"GAZETI LA MASKANI BONGO SASA LIKO MTAANI KILA SIKU ZA JUMATANO KWA SHLINGI MIA TANO TU"

No comments:

Post a Comment