TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, December 17, 2013

KUMBE FUMANIZI LA YOUNG DEE NA LULU LILIANDALIWA, POLISI WALIFANYA HARAKA KUWAKURUPUSHA ILIBIDI WAPIGWE PICHA WAKIWA WATUPU KWA AJILI YA USHAHI LAKINI NDO BASI TENA..!!!



Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Kwa mujibu wa habari hizo, wawili hao walinaswa wakifanya uchafu huo na askari waliokuwa doria lakini wakawavuta chobingo na baada ya muda, wakawaachia na kutokomea kusikojulikana.
Ili kupata ukweli wa tukio hilo la aibu, paparazi wetu alianza kwa kumvutia waya Young Dee na kumsomea mashtaka yake ambapo alifunguka kuwa ni kweli amezisikia habari hizo lakini akakana kwamba ishu hiyo siyo ya kweli bali imezushwa na kundi la watu wenye lengo la kumharibia jina lake mbele ya jamii.


 
MWISHONI mwa wiki iliyopita, taarifa zilienea katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari Bongo kwamba msanii wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young Dee’ na nyota wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ wamebambwa na polisi wa doria wakivunja amri ya sita ndani ya gari aina ya Hyundai, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, tukio lililojaa utata mkubwa.  
 Hata hivyo wawili hao wamekana tuhuma hizo, huku polisi wakiraumiwa kufanya haraka kwa kuwakurupusha kwani walitakiwa kusubiri kwa ajili ya kupiga picha tukio hilo ili iwe ushahidi. 
"BADO SIKU 3 MAELFU YA WAKAZI WA MORO KUSHUHA UDIA UZINDUZI WA CLUB MAISHA HUKU XTREME DEEJAYZ WAKIFANYA BALAA" 

No comments:

Post a Comment