TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, November 5, 2013

BALAA KUBWA! BIKRA WA MFALME MSWATI WAHOFIWA KUTUA TANZANIA KIMYA KIMYA, YADAIWA WAMEKASIRISHWA NA KITENDO CHA MFALME HUYO KUWATOSA MWAKA HUU!

DTV INAKULETEA TAMASHA KUBWA  LA AMANI NA UPENDO, WAIMBAJI WA INJILI ZAIDI YA 70 KUTOANA JASHO NI DESEMBA 8 KWENYE VIWANJA VYA USTAWI WA JAMII!

 Maelfu ya wanawake wa Kiswaziland wakiwa kwenye mstari mmoja kusubiri hatma yao kama watachaguliwa kuolewa na Mfalme huyo au laa!

 wanawake hao ambao hawajawahi kuguswa na wanaume katika maisha yao wakiwa na jazba kufuatia kutoswa na Mfalme wa nchi hiyo akidai kuwa haoni mwamke mzuri.
Wakina dada mabikra ambao pia ni wanafunzi wa chuo kikuu cha Swaziland wakiwa na nyuso za jazba baada ya mfalme kugoma kuchagua mke.
Hapa wakijirafiji tu kupunguza stress zao baada ya kutoswa,


 Kidume  Mfalme wa Swazland akiwa na mmoja wa wake zake kwenye moja ya ziara zake.



Na Mwandishi wa Xdeejayz kwa msaada wa mtandao
Katika hali isiyokuwa ya kawaida hali imekuwa tete nchini Swaziland kufuatia wanawake wengi waliokuwa na matumaini ya kuchaguliwa kuolewa na mfalme wa nchi hiyo King Mswati kupotea baada ya mfalme huyo kuwachinjia baharini.
Habari za uhakika toka kwenye moja ya mitandao nchini humo zilisema kuwa wanawake hao ambao wamekuwa wakimlalamikia sana kiongozi huyo kwa kitendo chake cha kuwatosa " Unajuwa kinachowauma hawa mabinti ni jinsi wanavyotunza bikra zao kwa muda mrefu bila kukutana na mwanaume halfu wanakuja kutoswa hatua za mwisho" Ulisema mtandao huo
Aidha katika hali nyingine taarifa hizo zilisema kuwa wanawake hao wamekasirika kiasi cha kutishia kuhama nchini humo na wanaweza kuja kuishi nchi za Afrika Mashariki na Kati ikiwemo Tanzania.
TAMASHA LA AMANI NA UPENDO HAPATOSHO VIWANJA VYA USTAWI WA JAMII TAREHE 8/12/2013

No comments:

Post a Comment