TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, October 18, 2013

WALIOWEKA BANGO LA PICHA YA SANAMU YA YESU NA KUMCHORA TATTOO NCHINI MAREKANI KUKATWA NA KUFIKISHWA MAHAKAMANI, UPORE WA WAKRISTO WAFIKA MWISHO!

    Licha ya kwamba Hata watu ambao wameweka bango hilo kujitetea na kudai kwamba wamechora na kuliweka kwa nia nzuri ili kuwahubiri watu waende kwake na kusafishwa dhambi zao lakini mashirika ya kikristone nchini humo wameapa kuchukua hatua za kisheria kwa wahusika wote waliidhalilisha picha hiyo ya Yesu. 

Bango hilo limeandikwa address ya tovuti ambayo ina video inayoonesha watu wanaenda kwa Yesu na wanasafishwa dhambi zao.

No comments:

Post a Comment