TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, September 11, 2013

ZILIZOINGIA SOKONI KWENYE BONGO MOVIEZ WIKI HII

Katika waisha, binadamu ana nyakati tatu, wakati uliopita wakati uliopo na wakati ujao. Wakati uliopita na Ujao hana mamlaka nao bali wakati uliopo ndio hazina yake ya kujenga mustakabali wake ila kikwazo kikuu ni uwri wake. Kuna umri anahitaji matunzo na ulinzi unaitwa utoto na kuna uwri anahitaji heshima na matunzo pia unaitwa uzee halafu kuna umri unaitwa mtu kawili ila kabla yake upo umri matata unaitwa FOOLISH AGE
Casts: Elizabeth Michael, Diana Kimaro, Hashim Kambi, Emmylia Joseph, Ombeni Phiri, Mandela Nicholaus, Ramadhani Miraji, Mohamed Fungafunga, Zamaradi Salim, Soud Ali, Idrisa Makupa, Leah Mussa, Tiko Hassan
Executive Producer Elizabeth Michael, Production Manager Soud Ali, Makeup Zamari Salim, Light /Sound Maliki Nyumba, Director Chidy Classic
Linapofikia suala la kumlinda binti yangu, nitamlinda kwa nguvu zangu zote. Tena nataka aolewe na msosi, najua kuna wahuni, ila nawaambia mimi ni mhuni wa zamani. TUTAPAMBANA.
Casts: King Majuto, Jacob Stephen, Shamsa Ford, Chuma Suleiman, Hartman Mbilinyi, Suleiman Barafu, Sudy Baunsa, Bibi Manga, Uncle Mick
script-DANIEL MANAGE story, DANIEL MANAGE producer-JERUSALEM FILM CO, executive producer-STEPS ENTERTAINMENT LTD., Director- JACOB STEPHEN sound- SILO NJENJE camera man-MATHIAS CHALLANGE
Kila mtu anandoto ya mafanikio, ila sio kila mwenye ndoto zinakuwa kweli. Chris anapata deal na kuifurahia kwamba itamtoa kimaistia, lakini haikuwa hivyo..Ni nini kinatokea THE BOSS fuatilia kisa hiki…
Casts: Adam Kuambiana, Rose Ndauka, Haji Salum
script-PAUL(BIGFISH)SEKABOY story- PAUL(BIGFISH)SEKABOY producer- SEKABOYI PRODUCTION executive producer- EVARIST SEKABOYI director- PAUL SEKABOYI sound- HANS KILLER cameraman- SAID WALLEY
Kila mtu katika maisha siku zote huishi ili kutimiza ndoto zake alizojipangia. Ikitokea kinyume huumia sana. Ni nini kilichompata OMEGA katika filamu hii ya kusisimua?
Casts: Mariam Ismail, William Mtitu, Irene Uwoya, Kulwa Kikumba
Script Ignas Milinzi, Story Rose Chitalah, Producer 5 Effects Movies, Executive Producer 5 Effects Movies, Director William J. Mtitu, Sound Almasi Amiri, Cameraman Denis Ngalongwa
Na hyperman hk

No comments:

Post a Comment