TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, September 10, 2013

YALIOJIRI KWENYE KILI TOUR KAHAMA NI HATARIII

 
True Fans Kwenye Kili Music Tour Kahama Wakipata Show Ya Ukweli, Ilifanyika Uwanja wa Taifa Wa Kahama, Next Ni Dar Es Salaam.
angalia picha zaidi....
          Recho na madansa wake katika steji ya Kili Music Tour Kahama

  Ben Pol na Alice wakiimba wimbo wao mpya wa Waubani
                                 Ben Pol akiwaimbisha mashabiki kwa hisia

                                         Barnaba Boy jukwaani

                         Linex katika backstage ya Kili Music Tour


                   Izzo Bizness na Barnaba wakishambulia jukwaa kwa pamoja

                  Baada ya kushuka jukwaani mashabiki hawakutaka kupoteza nafasi ya kupiga nae picha.

     Kala Jeremiah akiwauliza mashabiki kama wameilewa Kikwetu kwetu

                                 Lady Jaydee na Profesa Jay wakiimba Joto Hasira

                             Profesa Jay akiifunga Kili Music Tour Kahama

       Mashabiki wakinyoosha mikono juu kuwashukuru wakali wa muziki waliopanda jukwaani
 
Na Hyperman HK

No comments:

Post a Comment