TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, August 20, 2013

BIBI ALIYEDAIWA KUDONDOKA AKIWANGA YADAIWA WALIKUWA WATATU WENZAKE WAKAMUACHA. WALIKUWA WANAKWENDA KUWANGA!


 
Wasamalia wema wakimuhoji kwa umakini bibi huyo muda mfupi baada ya kudondoka huko Chanika.

Wasamalia wema wakimpatia chakula kumnusuru na njaa bibi huyo ambae aligoma kutaja jina lake kwa madai kuwa kisheria hairuhusiwi.


Wananchi wakiwa wamekusanyika wakimshangaa bibi huyo.
Na Mwandishi Wetu Chanika
 
BIBI mmoja ambaye hakuweza kupatikana jina lake mara moja, jana majira ya saa mbili usiku maeneo ya Chanika, jijini Dar es Salaam alidaiwa kuanguka wakati akiwa katika harakati za kuwanga ambapo wakazi wa hapo walimkamata na kuanza kumhoji kwa maswali mbalimbali kama anavyoonekana pichani.
Hata hivyo mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo alisema kuwa bibi huyo ambae awaili aligoma kuongea chochote kwa madai haruhusiwi kisheria lakini baadae baada ya watu kumtishia kumchoma moto ndipo alipofunguka mengi na kusema alikuwa na wenzake watatu ambao wamekimbia.


 

No comments:

Post a Comment