TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, July 30, 2013

SNURA KUACHIA NGOMA MPYA BAADA YA MAJANGA-NIMEVURUGWA

 Yule msanii wa kike aliepewa jina la CAPTEN wa kike wa bongo fleva tanzania,mwenye nyonga isiyonakifani,na mashahiri yatawagusa kila lika hivi karibuni ataachia ngoma yake mpya inayofata baada ya MAJANGA, akiongea na blog hii manager wa msanii huyo hemed kavu HK Alisema wimbo utakuja kuwa ni gumzo la jiji kwamana msanii wangu snura anauwezo wakuimba vitu vingi sana katika nyimbo zake na vyote vina maana na ugusa jamii kwa ujumla, wimbo huu wa NIMEVURUGWA unaelezea watu tofauti walivyovurugwa kwenye MAISHA,SOKA,ELIMU,SERIKALI, na hata kwenye MAPENZI N.K kwa mfano kuna mstari unasema MKANDARASI ALIEPEWA,CEMENT AKAIBA NDIO MANA GHOROFA LIKALETA SHIDA,UZEMBE ULIOFANYWA, WALIMU WAKAGOMA ,WANAFUNZI WAKASHINDWA KUSOMA, NDIO MANA WAKAFELI. Ni nyimbo nzuri sana yenye mashahiri mazito,KAA tayari hivi leo au kesho utasikia.
 
SNURA NA #TEAM MAPACHA

No comments:

Post a Comment