TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, May 17, 2013

SPORT LIVE YA DTV KESHO JUMAMOS LIVE KWENYE PAMBANO LA SIMBA NA YANGA UWANJA WA TAIFAI!

OREST KAWAU MMOJA WA WATANGAZAJI WA KIPINDI CHA MICHEZO DTV.

Na Livingstone Mkoi

Timu ya wananmichezo wa kipindi cha Sport Live kinachorushwa na Dar es Salaam Televisheni DTV kesho wanatarajia kushusha mitambo yao ndani ya uwanja wa taifa kwa ajili ya kufanya coverages nzima ya mapambano wa mechi ya watani wa jadi kati ya Simba na Yanga.

Akiongea na Xdeejayz Program meneja  wa DTV  Mathew Philip alisema " Kwa mara ya kwanza tutapeleka timu ya waandishi wetu kwenye pambano hilo huku wakiwa na kamera za kisasa kabisa ili kuchukuwa kila kinachoendelea uwanjani hapo" Alisema Mathew

Aidha kiongozi huyo aliongeza kusema kuwa " Tuliandika barua kwa ajili ya kuimba TFF kuwapa vitambulisho waandishi wetu ili waweze kufika uwanjani hapo siku ya kesho Jumamosi kwa ajili ya kutimiza majukumu yao na tayari TFF imeshatoa baraka tayari ya kupatiwa vitambulisho wanahabari wetu" Alisema meneja

Hata hivyo meneja huyo alimaliza kusema mashabiki wa michezo wanaombwa kuwa na subra tu lakini hivi pundi kuna suprise kubwa inakuja kwao kupitia DTV hasa kwa wapenda michezo yote ndani na nje ya nchi DTV NI WAKATI WAKO.

Aidha waandishi wa Xdeejayz nao watahakikisha wanakuwepo ili kuwaretea kila kinachoendelea uwanjani hapo ili kuwapa raha murua.

No comments:

Post a Comment