TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, May 7, 2013

Neno la P-Funk Majani kwa Lady JayDee Kuhusu Beef na Radio Clouds na jaydee

 

 

 

 


Producer mwenye historia kubwa na ya kipekee katika muziki wa Bongo Fleva P-Funk Majani ameonesha kumuunga mkono Lady JayDee na kwamba anadhani ni muda sasa wengine wakafuata nyayo zake, yeye mwenyewe majani amemhakikishia Jide kuwa yuko nae “Count Me in”.

Ameongeza kuwa endapo wasanii na watayarishaji wa muziki wakiungana hakuna kitakachowazua isipokuwa Mungu.

Hizi ni Tweet za P-Funk Majani za May 4:

@JideJaydee I think its really high time others follow in ur Footsteps!! Count Me in!

 

 


 

 

No comments:

Post a Comment