TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, May 15, 2013

LINNAH NA AMINI WAANZA KUFANANA

 Live camera yetu imekutana na AMINi na LINNAH kwenye jumba la kulelea vipaji la THT maeneo ya block 41 hivi karibuni wakati wa kufanya mazoezi ya kwa ajili ya tamasha la kuwatunuku tuzo wasanii mbalimbali wa hapa nchini tanzania KILI MUSIC AWARDS ambalo litafanyika tar 8 mwenzi wa 6 katika ukumbi wa mlimani city.......camera action 1,2,3 tap picha ikatoka hivyooo.
Hapa LINNAH,SNURA na AMIN pembeni.

No comments:

Post a Comment