Napenda kuchukua Nafasi Hii Kumshukuru mungu kwa uzima na afya tele aliyonijalia..... Mpaka kuwasili salama bukoba tarehe 30 march mwaka huu .....Pia napenda kuwashukuru mashabiki wote wa mjini bukoba waliojitokeza kwa wengi katika usiku wa wasafi mjini bukoba.. Mashabiki walifurika kufikia kunifanya mimi kuwa na furaha na faraja kubwa wakati nipo stejini....na kuzidi kufanya manjonjo mengi na ujuzi mwingi nikiwa stejini kama kawaida yangu...
Nilikinukisha vilivyo kama kawaida yangu...Nikiwa na Silaha zangu za maangamizi Jeshi la wasafi kwenye Steji....na Kuweka Historia Mpya ndani ya Bukoba kuwa mwanamuziki wa kwanza kupiga show mwenyewe na kujaza watu zaidi ya 3,000 hadi kufikia Uongozi kusitisha kuuza Ticket kutokana na Jeshi la Polisi kutoa taharifa ingweza kutokea mahafa kama ilivyotokea kabla ya Mimi kupanda Jukwani.....
Zifuatazo ni Picha za Show Ndani ya Bukoba....!! |
No comments:
Post a Comment